Msanii mwenye jina kubwa kwenye Tasnia ya filamu Bongo Wastara Juma ambaye kwa sasa anatamba na muvi yake mpya ya “Shayma”.Wastara kwa sasa yupo tayari kuolewa na kuishi na mwanaume yeyote
atakae jaaliwa na mwenyezi Mungu aliandika hayo kwenye Blog yake na kusema .
“Nipotayari kuolewa nakuishi na mwanaume yeyote atakae jaaliwa na mwenyezi Mungu. Ila marufuku wale wanao sambaza maneno ya kinafiki kuwa atakaemuoa Wastara atakufa kama R.I.P Sajuki, atambue kuwa yeye sio Mungu kwani kila jambo linatokea kwa mipango ya Mungu”
No comments:
Post a Comment